tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Mambo vp ,
Naombeni kujuzwa hyo cake inapikwaje na kupambwaje? Birthday yangu ni trh 20/10 (alhamis) I wish nijue nijitengenezee ili nile na familia
Karibuni wataalam
NB:hyo picha nimeiiba mahali huko Instagram kwa Mpishi maarufu-open kitchen