Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanataka kazi ya kuosha range
Hakiamungu leo nimeamini huyu bwana kiduku anayoyahadithia hapa ni ya kweli kabisa sikuwahi kuwazaga. Mi ni shuhuda wa tukio zima jinsi alivyowagonga bata mpaka amefukuzwa na kulipa fidia yote. Nilkua nimevalia pensi nyeusi na flana ya kahawia sikua nafoka kama wengine nilkuwa kimya tu.
Naomba nichek Dm na picha za hiyo ford pls..
Kiduku lilo
Et ww walet yako huwa ya size gani kuweza Ku accommodate pesa zote izo kila mtu huwa unampa pesa
Tajiri Kiduku Lilo Mwenyewe..
Watu wana chuki tu na wewe.
BTW..hiyo Ford imeshapata Mteja Boss wangu? Nataka nije niichek.
Hata humu kuna watu watakuchukia kwa sababu ya hizi nyuzi zako,Umaskini kibaya sana!
Nmeacha kuweka pesa kwenye wallet.dr wangu alinishauri nlipokuwa USA sometime ago.nisitumie sana wallet hasa kama imejaa. So nina ka wallet kembamba sana nawekea cards tu na vidola vichache.pesa naweka kwenye gari nayokuwa nayo au kwenye bag la laptop.kwenye gari zangu kuna sehemu nyingi tu za kuweka pesa.
Kama utataka kubadilisha gari nauza range rover evoque..tofauti na hapo tungefanya exchange na ranger io.endapo ingekua wildtrack
Kama utataka kubadilisha gari nauza range rover evoque..tofauti na hapo tungefanya exchange na ranger io.endapo ingekua wildtrack
Tena wanaume ndo wanaongoza kuhate nyuzi zake πππ
Ni nature tu hyo..ni vle majogoo eakijawageni tena walioshiba .hawa wenyrji wakauaga unsecure!Huwa nasikitika sana. Why do they hate me?