Hii Chuki inatokana na nini? Hili jambo limeusononesha moyo wangu

Hii Chuki inatokana na nini? Hili jambo limeusononesha moyo wangu

Lakini hakukupa pesa?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sasa itabidi umfate pm akupe
Hakiamungu leo nimeamini huyu bwana kiduku anayoyahadithia hapa ni ya kweli kabisa sikuwahi kuwazaga. Mi ni shuhuda wa tukio zima jinsi alivyowagonga bata mpaka amefukuzwa na kulipa fidia yote. Nilkua nimevalia pensi nyeusi na flana ya kahawia sikua nafoka kama wengine nilkuwa kimya tu.
 
Kuna jamaa yangu aliomba nimuuzie kanambia ijumaa hii atakuwa amekamilisha kila kitu.so kesho anakuja lichukua gari.nmemwambia tu anaweza anza litumia maana naona ana munkari nalo sana.

Naomba nichek Dm na picha za hiyo ford pls..
 
Nmeacha kuweka pesa kwenye wallet.dr wangu alinishauri nlipokuwa USA sometime ago.nisitumie sana wallet hasa kama imejaa. So nina ka wallet kembamba sana nawekea cards tu na vidola vichache.pesa naweka kwenye gari nayokuwa nayo au kwenye bag la laptop.kwenye gari zangu kuna sehemu nyingi tu za kuweka pesa.

Kiduku lilo
Et ww walet yako huwa ya size gani kuweza Ku accommodate pesa zote izo kila mtu huwa unampa pesa
 
Tajiri Kiduku Lilo Mwenyewe..
Watu wana chuki tu na wewe.
BTW..hiyo Ford imeshapata Mteja Boss wangu? Nataka nije niichek.

Wewe nawe unataka kutukera au unaturusha roho sasa🤣🤣!hhahha...unataka uikaichek?mhh bas mambo yako safi mamy..hongera(hii nanukuu kutoka wa watu fulani wa jf)🤣🤣🙌🙌
 
Nmeacha kuweka pesa kwenye wallet.dr wangu alinishauri nlipokuwa USA sometime ago.nisitumie sana wallet hasa kama imejaa. So nina ka wallet kembamba sana nawekea cards tu na vidola vichache.pesa naweka kwenye gari nayokuwa nayo au kwenye bag la laptop.kwenye gari zangu kuna sehemu nyingi tu za kuweka pesa.

Kama utataka kubadilisha gari nauza range rover evoque..tofauti na hapo tungefanya exchange na ranger io.endapo ingekua wildtrack
 
Hapana ndugu yangu. Sijawahi nunua gari used Tanzania. Na siwezi.Mimi huwa nanunua gari 0 kms au Below 10,000 kms huko huko ulaya. Range ninazo mbili.
Nina.
RANGE ROVER SVR
RANGE ROVER SVAUTOBIOGRAPHY

Kama utataka kubadilisha gari nauza range rover evoque..tofauti na hapo tungefanya exchange na ranger io.endapo ingekua wildtrack
 
Back
Top Bottom