Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kuna hii clip ya Kamala Harris inatembea sana huko kwenye mtandao wa X na Republicans wanaishare kwenye akaunti zao.
Jana Harris alikuwa anafanya Town Hall. Town Hall ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wananchi wanapata nafasi ya kumuuliza maswali mgombea au kiongozi wao maswali ya papo kwa papo.
Sadly akiwa kwenye hii townhall Harris alikuwa anatumia teleprompter and ofcourse ilitakiwa iwe kama siri lakini kwa bahati mbaya Univision walichukua camera angle ambayo inaonesha kuwa alikuwa anasoma instead of thinking and speaking.
Unatumiaje Teleprompter kujibu maswali ya wananchi? Hata mama Kizimkazi anamshinda?
Hivi mtu kama huyu ambaye anatumia teleprompter kujibu maswali ya wananchi anawezaje kukaa meza moja na Xi Jinping, Vladimir Putin au Kim Jong Un?
Mbona Trump anaweza kuongea hadi masaa miwili kwenye kampeni zake huyu Harris ana shida gani?