Hii kitu ndio inawafanya madirector na owners original wa movie kali wasifanyie Reboot ya sequel zilizotamba miaka hiyo........
Sababu ukibugi kidogo tu unaharibu heshima ya movie original.
Tazama kama terminator hii ya mwisho upuuzi waliofanya....... Unamuuaje John Conor kwa mfano na kuweka terminator wa kike tena wa kipuuzi hata hapendezei kuwa cyborg.
Tazama reboot ya Ghostbusters, upuuzi mtupu wamefanya movie hadi imeonekena ni kituko......
Kuna movie inatiwa Back to the future, ni sequel ya miaka ya 1980's na early 1990's, hii movie hadi leo wanatamani sana kuifanyia reboot ila director anaogopa sana kuiharibia heshima yake. Plus original actor wake alipatwa na condition ya mwili inaitwa Parkinson's disease.