Hii Coming 2 America sijaielewa...

Mi sikuelewa yule mfalme alivyokufa huku msiba wake ukiendelea. Na watu wanaimba nyimbo za maombolezo.
Yaani siku ya msiba wake ndio akafa!!

Hii ni Bongo muvi. [emoji23]
Mkuu, kwa wazee wa zamani, alikua anaweza kupredict kifo chake. Hujawahi sikia zile mzee anawaita wanae wote anawapa wosia na kuwaaambia kabisa kwamba kesho mi naondoka?
 
Mkuu, black panther hujaielewa wewe tu, so far ndio muvi ya Marvel iliyo gross kupita muvi zote. Rest in Peace Chadwick Bossman
 
Hilo lisongi la Domo lipo?
Hakuna sehemu nimeisikia....ingawa wanadai utakuwepo kwenye compilation album ya sound track. Sasa swali langu ni kwamba itakuwepo kwenye compilation album wakati kwenye movie husika haijasikika pahala...how this could be?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua anatembea kama joti. Wakati tushazoea Wesley Snipes sio mtu wa mchezo mchezo
Wesley Snipes mwanaume mgumu anatembea Kama kakata center bolt vile, Muvi ina maskhara saana ile.
 
Movie ya kawaida sana. Bora niendelee Kuangalia korean movies.

Af kwann mnaangaliaga Hollywood movies? wakati Kuna watu kama wakorea wanatengeneza good movies?
 
Movie ya kawaida sana. Bora niendelee Kuangalia korean movies.

Af kwann mnaangaliaga Hollywood movies? wakati Kuna watu kama wakorea wanatengeneza good movies?
kila mtu ana mapenzi yake. ana taste yake kwenye movies. hollywood wana taste yao.. korean movie wana taste yao.. indian movie wana taste yao.
hatuwez kufanana
 
Story mbovu. Hizo mambo za story wangemuita hata James cameron awasaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…