Hii Coming 2 America sijaielewa...

Binafsi nimempenda sana tena sana. Rotimi ndani ya nyumba. Davido ingawa kadakika tu. Ila film ni nzuri ni kama ile part one prince hajampenda mke aliechaguliwa. Prince anampenda Mirembe aka Milembe wasukuma mtanielewa. Nimeipenda sana.
 
Hakuna sehemu nimeisikia....ingawa wanadai utakuwepo kwenye compilation album ya sound track. Sasa swali langu ni kwamba itakuwepo kwenye compilation album wakati kwenye movie husika haijasikika pahala...how this could be?
Sema alikiba hapendi kujionyesha tu,hata wimbo wake ule wa 'maki mugan' umepigwa kwny hio movie baada ya wimbo wa Davido ila mshkaji hakupenda kujitangaza tu.
 
Mkuu kabla sijaishusha nipe kidogo ka hadithi inahusu nini hao majamaa
Jamaa walitaka kwenda kuiba kwenye vault ya benki kuu yas Spain ambayo ndio vault lililoshindikna dunia nzima, wakamrecruit dogo mmoja injinia genius Al iyekataa ajira kwenye makampuni ya maana
 
Nimegundua watu wengi wanailinganisha na yakwanza ndio maana wanaiona mbaya, binafsi nimeiona ya kawaida tu
Huwezi kuacha kuilinganisha na ya kwanza maana huu ni muendelezo wa ile filamu ya kwanza. Sema naona jamaa wameamua kutembelea nyota tu ya ile part 1 ila cha maana walichofanya hakuna.
 
Sisi sindio wenyewe sasa wabongo? Ulitaka hii kazi afanye nani? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hahahah itakua kweli mkuu
Mtu pekee ambae nimeona ame perform vizuri kwenye hii movie ni huyu binti wa kuitwa Kiki Layne alie act kama mtoto mkubwa wa Eddy Murphy. Huyu demu kwa sasa ndio habari ya mjini pale Hollywood hasa baada ya kukinukisha balaa kwenye ile movie ya The Old Guard akiwa na kaburu Charlize Theron. Nyota yake kwa sasa ni angavu sana kwakweli na ninamuona akifika mbali kama ataendelea hivi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…