Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
Tafiti zinaonyesha kuna shortcut ya kufikia hali ya kuhisi muunganiko na ulimwengu hali ambayo hupatikana kupitia meditation kwa miaka mingi.
kwa kuwachunguza wakongwe wa meditation wenye zaidi ya miaka 15 kwenye meditation wanasayasi kutoka University College London wamegundua kua dozi ndogo ya 5-MeO-DMT—a compound ambayo inafahamika kupatikana katika aina fulani za chura inasababisha shughuli za ubongo zinazofanana sana na zile zinazosababishea na meditation ambapo mtu anahisi muunganiko na ulimwengu "selflessness"
Katika hali hii, mipaka kati ya mtu binafsi na ulimwengu wa nje hupotea kabisa. Kwa kawaida, kuweza kufikia hali kama hiyo huchukua miaka mingi ya discpline na practice, lakini dawa hiyo inasababisha mabadiliko hayo hapohapo.
ugunduzi huu unaongeza hamasa kihusu 5-MeO-DMT—a inaweza kisaidia kuelewa zaidi fahamu za binadamu na hata kutibu matatizo ya afya ya akili. tofauti na psychedelics zingine zinazo sababisha hallucinations, 5-MeO-DMT—a inafahamika kwa kuvuruga mfumo wa mawazo na kuleta "Pure Awareness"
Mtafiti mkuu, Christopher Timmermann,anasema kufanana huku kwa shughuli za ubungo kunatupa muongozo wa kuelewa kuhusu "deep meditative state", hivyo utafiti huu unapendekeza kuwa kemikali na mazoezi ya kiakili kama meditation yanaweza kuwasha njia zilezile ndani ya ubongo zinazosaidia mtu kufikia selflessness.