Hii leo ripoti kutoka US inadhibitisha kuwa dawa inayoitwa Remdesivir iliyotumika hapo awali kwa majaribio ya kutibu Ebola, inaweza kuzuia kwa kiasi kikubwa maafa kutokana na Corona virus. Ripoti kamili ya effectiveness ya dawa hii itatolewa hivi karibuni.