Hii dawa Remdesivir inaweza kusaidia kwa matibabu ya Corona

Hii dawa Remdesivir inaweza kusaidia kwa matibabu ya Corona

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Hii leo ripoti kutoka US inadhibitisha kuwa dawa inayoitwa Remdesivir iliyotumika hapo awali kwa majaribio ya kutibu Ebola, inaweza kuzuia kwa kiasi kikubwa maafa kutokana na Corona virus. Ripoti kamili ya effectiveness ya dawa hii itatolewa hivi karibuni.

 
Back
Top Bottom