Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kabisa!!Hao ccm hawataki kukubaliana na ukweli. Kwa sababu wao wamezoea kukaririshana na kutuma watekaji na wauaji, wanadhani kila mtu anatumwa!
Ni namna ya kukwepa uwajibikaji kwa kuaminisha umma (kitaifa na kimataifa) kuwa wako vizuri na raia wao, isipokuwa watu kutoka nje ndio wanaowachochea, hivyo hawatatekeleza matakwa ya raia kwa kisingizio ..walitumwa!Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine?
Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
Labda hiyo ndiyo iwe sababu!!Ni namna ya kukwepa uwajibikaji kwa kuaminisha umma (kitaifa na kimataifa) kuwa wako vizuri na raia wao, isipokuwa watu kutoka nje ndio wanaowachochea, hivyo hawatatekeleza matakwa ya raia kwa kisingizio ..walitumwa!
Aisee!!
Wanajua sana ndio maana hawaishi kutapa tapa.Awataki kukubali ukweli kua wamechokwa na hawana ushawishi wala mvuto
MudaWanajua sana ndio maana hawaishi kutapa tapa.
Inawezekana hawajui...Ni ujinga wao tu.
Mazoea ya kuishi katika uongo!Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine?
Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?