2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Nawasalimuni kwa jina la JMT?
Kama kichwa kinavyoeleza je ni kweli mtoto akizaliwa kuna kipindi wazazi wake wanatakiwa kukutana kimwili(kufanya ngono) ili kumzibua masikio?
Kama hawajakutana je kuna madhara kwa mtoto?
Kama ni kweli ni baada ya siku ngapi baada ya kujifungua?
Kwa singomaza nao watoto wao walizibuliwa na nani wakati wameachana na wenzi wao?
Asanteni