Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi ndiye wa kumkaba PACOME au yupo Mwingine tumsubiri?

Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi ndiye wa kumkaba PACOME au yupo Mwingine tumsubiri?

Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane!

Hivi huyu Beki anayeitwa "KISIKI CHA MPINGO" mliyemnunua kutoka huko kwa Ndugu zenu ndiye mnayemtegemea amkabe PACOME au labda kuna mwingine tuendelee kusubiri?

Pale mbele kuna Dubwana liitwalo DUBE

Kuna mpiga zeze na Marimba aitwaye ZENGELI,huyu yeye huwa hajulikani anacheza namba ngapi 😹

Pembeni/Kati kuna mzimu wa Afrika ujulikanao kama PACOME,maiwasuuuuuu!

Pale Kati kidogo ya Mbele kuna Mlalahoi mmoja anaitwa AZIZ KI, Uwi Uwi Uwi!

Jamani jamani jaman!

Nisiwaogopeshe mwaya, michezaji ya Utopoloni inatumia uchawi na dawa ya Uchawi ni CHE MALONI FORONYA & LAWINO 😹
Mbona unajamba hadharani!
 
Back
Top Bottom