Umeitwa shaurini juu ya kadhia ya familia hii.
Baba amehonga mtaji wote wa familia.
Mama amepigwa mimba na fundi charahani aliepanga ubaraza wa kushonea mbele ya nyumba ya familia.
Kijana mkubwa wa familia kapewa pesa akajilipie fizi katafuna na warembo wake.
Binti wa (primary school) wa familia hii ana mahusiano ya kimapenzi na Mwl. Mkuu.
Wadau hapa ipi kesi nzito kuliko zote tuanzenayo?
Aidha ipi kesi nyepesi kuliko zote tuipangie siku za mbele?
Pendekeza hukumu ikiwa waona umejali au guswa na kadhia husika.