Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saizi wanaume tumebaki wachache sana
Samahani Mkuu we unaeza?
Abee Mkuu.
Mkuu mbna kama umetoka namtumbo jana! Unanisikitisha sana tena sana. Nilikuwa najuaga we classic kumbee!Abee Mkuu.
Kwa upande wangu hafai kupewa sapoti huyo sababu anafundisha nini hapo hasa wale watoto wakiume wakiona hiyo nguo aliyovaa.
Au mie ndo mshamba?