Hii fashion mpya ya Harmonize ni nzuri apewe sapoti!

Hii fashion mpya ya Harmonize ni nzuri apewe sapoti!

Abee Mkuu.

Kwa upande wangu hafai kupewa sapoti huyo sababu anafundisha nini hapo hasa wale watoto wakiume wakiona hiyo nguo aliyovaa.

Au mie ndo mshamba?
Bora ubaki na ushamba wako ndugu, kuliko kujifanya mjuaji kumbe ndo unakua bogs!
 
Mkuu mbna kama umetoka namtumbo jana! Unanisikitisha sana tena sana. Nilikuwa najuaga we classic kumbee!
Ooh! Kumbe ndo mavazi yenu huko?

Mawazo yako tu Mkuu Mie niko Nakapanya huku hivyo najuaga hizo sketi tunavaaga wadada kumbe sio.
 
haya yatakuwa ni maelekezo kutoka kwa wakubwa zake wa chama cha akina Kanumba,mwenzake Dai aiwahi vaa kikuku hadharani
 
Ooh! Kumbe ndo mavazi yenu huko?

Mawazo yako tu Mkuu Mie niko Nakapanya huku hivyo najuaga hizo sketi tunavaaga wadada kumbe sio.
Hilo ni vazi tu haliakisi chochote acha ulimbukeni wewe dogo mbona watoto wa kike wanavaa suruali!
 
Hilo ni vazi tu haliakisi chochote acha ulimbukeni wewe dogo mbona watoto wa kike wanavaa suruali!
Kumbe porojo zote ulikuwa unataka kuelekea huku.

Pole sana Mkuu. Usipanic relax.
 
Kumbe porojo zote ulikuwa unataka kuelekea huku.

Pole sana Mkuu. Usipanic relax.
Sijapaniki nakushangaa huelewi hata fashion na ulivo mrembo hivo!
 
Hili toto sengerema kweli, sasa kuwa na tabia za kibint ndio nn?
 
Back
Top Bottom