Hii fashion mpya ya Harmonize ni nzuri apewe sapoti!

Kiki za nini tena? Au kuna kinyimbo kipya..
 
Naona kahamia kwenye nyumba ya chimo cha shoo...
vile vya kukaa vilimshinda....
 
Hyo kiki tu na hyo stle alivaa post maLone juzi tu yy kafanya kuiga tu fatilia uone
 
Abee Mkuu.

Kwa upande wangu hafai kupewa sapoti huyo sababu anafundisha nini hapo hasa wale watoto wakiume wakiona hiyo nguo aliyovaa.

Au mie ndo mshamba?
Mkuu mbna kama umetoka namtumbo jana! Unanisikitisha sana tena sana. Nilikuwa najuaga we classic kumbee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…