Bora ubaki na ushamba wako ndugu, kuliko kujifanya mjuaji kumbe ndo unakua bogs!Abee Mkuu.
Kwa upande wangu hafai kupewa sapoti huyo sababu anafundisha nini hapo hasa wale watoto wakiume wakiona hiyo nguo aliyovaa.
Au mie ndo mshamba?
Ooh! Kumbe ndo mavazi yenu huko?Mkuu mbna kama umetoka namtumbo jana! Unanisikitisha sana tena sana. Nilikuwa najuaga we classic kumbee!
Hakika Ndugu.Bora ubaki na ushamba wako ndugu, kuliko kujifanya mjuaji kumbe ndo unakua bogs!
Kumbe porojo zote ulikuwa unataka kuelekea huku.Hilo ni vazi tu haliakisi chochote acha ulimbukeni wewe dogo mbona watoto wa kike wanavaa suruali!
Sana tuKuzaliwa mjini raha Sana.
Atakuwa na wadudu wadogo wadogo wanamnyevuanyevuahaya yatakuwa ni maelekezo kutoka kwa wakubwa zake wa chama cha akina Kanumba,mwenzake Dai aiwahi vaa kikuku hadharani