Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajua vipi sina? ShwainTafuta pesa wewe
Acha kufuatilia yasiyokuhusuWe unajua vipi sina? Shwain
We umejuaje hayanihusu? Shwain.Acha kufuatilia yasiyokuhusu
[emoji23]Kina codes za nyuklia.
Siyo cha kijeshi, kwa muonekano ni fimbo lakini kwa matumizi ni kiti cha dharula, hicho kishikio hutanuliwa na kuwa kipana, miaka ya zamani vilikuwepo sana, atakuwa amerithishwa na baba yake.Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?View attachment 2031034