Mi nadhani Morroco Ina ushawishi zaidi ya Algeria ila hapo wote wamekutana ni mtihani mgumu sana ila Caf huwa inawaogopa Moroko sana na imekuwa ikijikomba sana hata pale wanapovunja sheria au kukataa maagizo yaoHapo washaingia cha kike
Algeria ni nchi kubwa kisoka na ina ushawishi ukanda wa UNAF
Motsepe anaweza asirudi madarakani
Huu mgogoro wa kidiplomasia waarabu wote wapo upande wa AlgeriaMi nadhani Morroco Ina ushawishi zaidi ya Algeria ila hapo wote wamekutana ni mtihani mgumu sana ila Caf huwa inawaogopa Moroko sana na imekuwa ikijikomba sana hata pale wanapovunja sheria au kukataa maagizo yao
Katika mambo ya siasa za kimataifa karibia nchi zote za Africa zipo upande wa Algeria. Kwenye mpira wana siasa zao.Huu mgogoro wa kidiplomasia waarabu wote wapo upande wa Algeria
Kwaiyo CAF wanavohujumu team ya Algeria itamfanya Motsepe aangukie pua
Nchi kama Egypt, Tunisia zipo upande wa Algeria
FIFA yenyewe sheria zake ziko upande wa CAF au kwa Waarabu?Huu mgogoro wa kidiplomasia waarabu wote wapo upande wa Algeria
Kwaiyo CAF wanavohujumu team ya Algeria itamfanya Motsepe aangukie pua
Nchi kama Egypt, Tunisia zipo upande wa Algeria
USMA hawajaleta timu uwanjaniNini kimetokea wakuu?
kwanini?USMA hawajaleta timu uwanjani
Usishangae maana hata mechi ya kwanza jamaa hawakuleta timu uwanjani, berkane akapewa ushindi wa goli 3 wa mezani na cafkwanini?
Usishangae maana hata mechi ya kwanza jamaa hawakuleta timu uwanjani, berkane akapewa ushindi wa goli 3 wa mezani na caf
Kwa wasioelewa Hawa watu washaleta siasa kwenye mpira, Kuna eneo ambalo Morocco na Algeria wamekua wakiligombania muda mrefu, limekua likileta utata kwenye mipaka Yao mpaka Leo hakuna suluhu, sasa berkane(ya Morocco) kwenye jezi Yao wameweka ramani ya Morocco(sijui kwanini sasa au ndo chokochoko) inayoonyesha Ramani nzima ya Morocco ikiwepo na Hilo eneo linalogombaniwa na Algeria,
CAF walishaipitisha hii jezi kama official kit ya berkane, sasa walipokutana na usm Alger ya Algeria, walioenda Algeria mechi ya kwanza ugenini, serikali ya Algeria wakazizuia jersey za berkane zisitumike, waliona kama watakua wanakubali kushindwa, kwanini wawaruhusu berkane waonyeshe ujumbe kwenye jersey zao wakiwa wameweka ramani ya Morocco ikijumuisha na lile eneo ambalo bado wanaligombania.
Berkane wakasema hawawezi kuingia uwanjani hawana jersey maana jersey zao serikali imezichukua, mechi haikuchezwa, CAF wakawapa berkane ushindi wa mezani 3-0, Jana napo usm kagoma kuingiza timu uwanjani
USM wamegoma kuingiza timu Uwanjani bila sababu yoyote ya msingi,Mechi ya kwanza ni Berkane ndie hakupeleka timu uwanjani. Sababu customs office ya Algeria ilizuia wasitumie jezi zao zenye ramani ya nchi yenye utata.
Kwa ufupi Timu zote mbili zimegoma kuingiza timu uwanjani kwa zamu zamu
Umeeleweka sana.Kwa wasioelewa Hawa watu washaleta siasa kwenye mpira, Kuna eneo ambalo Morocco na Algeria wamekua wakiligombania muda mrefu, limekua likileta utata kwenye mipaka Yao mpaka Leo hakuna suluhu, sasa berkane(ya Morocco) kwenye jezi Yao wameweka ramani ya Morocco(sijui kwanini sasa au ndo chokochoko) inayoonyesha Ramani nzima ya Morocco ikiwepo na Hilo eneo linalogombaniwa na Algeria,
CAF walishaipitisha hii jezi kama official kit ya berkane, sasa walipokutana na usm Alger ya Algeria, walioenda Algeria mechi ya kwanza ugenini, serikali ya Algeria wakazizuia jersey za berkane zisitumike, waliona kama watakua wanakubali kushindwa, kwanini wawaruhusu berkane waonyeshe ujumbe kwenye jersey zao wakiwa wameweka ramani ya Morocco ikijumuisha na lile eneo ambalo bado wanaligombania.
Berkane wakasema hawawezi kuingia uwanjani hawana jersey maana jersey zao serikali imezichukua, mechi haikuchezwa, CAF wakawapa berkane ushindi wa mezani 3-0, Jana napo usm kagoma kuingiza timu uwanjani
Bila sababu ya msingi? Upo serious?USM wamegoma kuingiza timu Uwanjani bila sababu yoyote ya msingi,
Barkane hawakuingiza timu kwa sababu jezi zao zilizuiliwa na maafisa wa uwanja wa ndege, ndo maana walipewa point 3 na magoli 3
Ni jambo zito kuliko watu wengi wanavyo fikiri. Kwa mfano tumekuwa na kutokuelewana na Malawi, sasa chukulia timu ya Malawi inacheza na moja ya timu zetu za Kariakoo halafu waweke ramani kwenye jezi zao inayoonesha ziwa Nyasa lipo kwao. Kamwe serikali haiwezi kubali hiyo jezi itumike na ikiruhusu wananchi wataidharau sana hiyo serikali. Moja ya sababu ya Morocco kujitoa OAU kipindi kile ilikuwa ni huu mgogoro wao na Algeria, ukiwa nje unaweza ona ni issue ndogo lakini kumbe ni kubwa sana. Nafikiri CAF ndio wenye makosa kuruhusu jezi kuwa na ramani ambayo ina mgogoro na haya ni kinyume na taratibu za FIFAUSM wamegoma kuingiza timu Uwanjani bila sababu yoyote ya msingi,
Barkane hawakuingiza timu kwa sababu jezi zao zilizuiliwa na maafisa wa uwanja wa ndege, ndo maana walipewa point 3 na magoli 3