Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gari inatisha, ila comment zenu znachekesha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Lengo sijui lilikuwa ni nini hapo, wabongo wabishi kinomaπŸ˜†πŸ˜†
 
Dah, hili gari kama Great dane au mtu aliyechoka na maisha
 
Gari ina pua kama ya kitimoto...
 
Kila nikisoma komenti za wadau narudi kuiangalia

Baaasi nacheka saaana
 
Kwa wanaodharau baadhi ya gari na kuziita sijui baby walker mara za kike, hii gari ndiyo inawafaa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…