Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

Hii gari itakuwa role model wake ni huyu mbwa great dane
Screenshot_20210704-223335.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gari inatisha, ila comment zenu znachekesha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Lengo sijui lilikuwa ni nini hapo, wabongo wabishi kinoma๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Dah, hili gari kama Great dane au mtu aliyechoka na maisha
 
Kila nikisoma komenti za wadau narudi kuiangalia

Baaasi nacheka saaana
 
Kwa wanaodharau baadhi ya gari na kuziita sijui baby walker mara za kike, hii gari ndiyo inawafaa sasa.
 
Back
Top Bottom