Hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli

ipo siku uataambiwa shusha engine,matairi nunua seat, nunua body mpya nunua steering wheel yani Hadi uje ushtuke unajikuta umenunua gari mpya bila kujua
Mafundi wa chin ya mti wengi wababaishaji ila siyo wote
 
Ila lazma iliongezeka kutafuna mafuta.
 

Kama hilo gari ulilinunua mkononi kwa mtu basi ume feli.
 
Soma hapa baadhi ya sababu ya gari kukosa nguvu ukifanyia kaz inaweza kukusaidia
 
tatizo la kununua gari mtumba, tuungane na serikali yetu tuache kuwategemea mabeberu na tuunde magari yetu pale pwani, yanaitwa NYUMBU, hayata kusumbua.
 
Aina ya gari?
 
Kuna haka kakitu kabla hujafikia mafla ... Wanakitua kicha wanakuwekea famba... Angalia Kama hawajakubadilishia maana vinaibiwa Sana na ndo vinasababisha gari kukosa nguvu
 

Attachments

  • IMG-20201117-WA0003.jpg
    64.8 KB · Views: 7
isijekuwa gari inakosa compression kutokana na piston ring kuisha, Spark plugs, Nozzles, control box etc
 
Hicho ulichofanya ni hatari sana kwa afya ya jamii maana hiyo uliyotoa ni catalytic converter inayochuka sumj za moshi, labda kama ilikuwa imeziba basi ulipaswa kubadilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…