Hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli

ipo siku uataambiwa shusha engine,matairi nunua seat, nunua body mpya nunua steering wheel yani Hadi uje ushtuke unajikuta umenunua gari mpya bila kujua
Mafundi wa chin ya mti wengi wababaishaji ila siyo wote
 
Mkuu, mi nishawahi experience tatizo kama hilo...mafundi walifanya basic services zote + kubadili plugs but tatizo lilikuwa palepale.

Nilichofanya niliamua kuitoa ile exhaust pipe...katikati huwa inatumbo linaitwa mufler...ambalo tulilichana na kutoa lile dongo la kuchuja sauti (lipo kama sega la nyuki)...... baadae tukalichomelea (kulishona) na kurudishia.... gari ilikuwa nyepesi huwezi amini...na sauti haikubadilika sana.....try this naamini utatibu hilo tatizo.
Ila lazma iliongezeka kutafuna mafuta.
 
Nina gari ndogo ya kutembelea, gari hii ilianza kuwa nzito yaani ukiwa D lazima ukanyage mafuta ndio iondoke na vilevile ukiwa kwenye mpando inaishiwa nguvu na kuchemsha, nilienda kwa fundi akaniambia tatizo ni pampu nikabadilisha lakini tatizo likabaki pale pale nikaenda kwa mwingine akaniambia oil ya gearbox na engine nikabadilisha lakini tatizo likawa pale pale, mwingine akaniambia ni gearbox mbovu ninunue nyingine, nimenunua gearbox nimefunga lakini tatizo halijaisha.

Naona hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli, kwa wajuzi wa magari hii gari inaweza kuwa na shida gani?

NB: gari ni la mwaka 2000 halina port za kupimia.

Kama hilo gari ulilinunua mkononi kwa mtu basi ume feli.
 
Soma hapa baadhi ya sababu ya gari kukosa nguvu ukifanyia kaz inaweza kukusaidia
Screenshot_20201124-103840.jpg
 
Nina gari ndogo ya kutembelea, gari hii ilianza kuwa nzito yaani ukiwa D lazima ukanyage mafuta ndio iondoke na vilevile ukiwa kwenye mpando inaishiwa nguvu na kuchemsha, nilienda kwa fundi akaniambia tatizo ni pampu nikabadilisha lakini tatizo likabaki pale pale nikaenda kwa mwingine akaniambia oil ya gearbox na engine nikabadilisha lakini tatizo likawa pale pale, mwingine akaniambia ni gearbox mbovu ninunue nyingine, nimenunua gearbox nimefunga lakini tatizo halijaisha.

Naona hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli, kwa wajuzi wa magari hii gari inaweza kuwa na shida gani?

NB: gari ni la mwaka 2000 halina port za kupimia.
tatizo la kununua gari mtumba, tuungane na serikali yetu tuache kuwategemea mabeberu na tuunde magari yetu pale pwani, yanaitwa NYUMBU, hayata kusumbua.
 
Nina gari ndogo ya kutembelea, gari hii ilianza kuwa nzito yaani ukiwa D lazima ukanyage mafuta ndio iondoke na vilevile ukiwa kwenye mpando inaishiwa nguvu na kuchemsha, nilienda kwa fundi akaniambia tatizo ni pampu nikabadilisha lakini tatizo likabaki pale pale nikaenda kwa mwingine akaniambia oil ya gearbox na engine nikabadilisha lakini tatizo likawa pale pale, mwingine akaniambia ni gearbox mbovu ninunue nyingine, nimenunua gearbox nimefunga lakini tatizo halijaisha.

Naona hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli, kwa wajuzi wa magari hii gari inaweza kuwa na shida gani?

NB: gari ni la mwaka 2000 halina port za kupimia.
Aina ya gari?
 
Kuna haka kakitu kabla hujafikia mafla ... Wanakitua kicha wanakuwekea famba... Angalia Kama hawajakubadilishia maana vinaibiwa Sana na ndo vinasababisha gari kukosa nguvu
 
Attachments

  • IMG-20201117-WA0003.jpg
    IMG-20201117-WA0003.jpg
    64.8 KB · Views: 7
isijekuwa gari inakosa compression kutokana na piston ring kuisha, Spark plugs, Nozzles, control box etc
 
Mkuu, mi nishawahi experience tatizo kama hilo...mafundi walifanya basic services zote + kubadili plugs but tatizo lilikuwa palepale.

Nilichofanya niliamua kuitoa ile exhaust pipe...katikati huwa inatumbo linaitwa mufler...ambalo tulilichana na kutoa lile dongo la kuchuja sauti (lipo kama sega la nyuki)...... baadae tukalichomelea (kulishona) na kurudishia.... gari ilikuwa nyepesi huwezi amini...na sauti haikubadilika sana.....try this naamini utatibu hilo tatizo.
Hicho ulichofanya ni hatari sana kwa afya ya jamii maana hiyo uliyotoa ni catalytic converter inayochuka sumj za moshi, labda kama ilikuwa imeziba basi ulipaswa kubadilisha
 
Back
Top Bottom