lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
Hahahaha, nimecheka sana! Harrier mbona 3000USD CIF ni bei ya kawaida sana kwa gari ya mwaka 2003 kushuka chini!!! Bei ya harrier inakuja kupanda ikitandikwa kodi za ajabu hapa bongo. Harrier ya miaka hiyo mpaka barabarani usilipe zaidi ya 17M.
Used HARRIER TOYOTA for Sale | BF232345 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD
Used HARRIER TOYOTA for Sale | BF234133 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD
Kweli kabisa kwa OLD SHAPE wawezapata lakini kwa new shape kuanzia 2005 zipo juu,popote pale hasa 4 cylinder yenye CC chini ya 2400..Nyingi ulizotuonyesha hapo juu ni old shape na CC 2900 ambazo hazina demand kwa wateja.