Hii gari itanigharimu shilingi ngapi mpaka kuitoa bandarini?

Kweli kabisa kwa OLD SHAPE wawezapata lakini kwa new shape kuanzia 2005 zipo juu,popote pale hasa 4 cylinder yenye CC chini ya 2400..Nyingi ulizotuonyesha hapo juu ni old shape na CC 2900 ambazo hazina demand kwa wateja.
 
Nilikuwa namwonesha Deus F Mallya kuwa si vyema kuapa, tena kwa jina la babu yake aliyekufa (badala ya kuapa kwa jina lake), inabidi amtake radhi babu yake.
 
Last edited by a moderator:

Exactly, wewe unajua aisee hata mimi was on the same plane sio zaid ya 17 mayb ikizidi ni vilaki viwili umetapeliwa na C&F companies za vichochoroni...
 
Exactly, wewe unajua aisee hata mimi was on the same plane sio zaid ya 17 mayb ikizidi ni vilaki viwili umetapeliwa na C&F companies za vichochoroni...

kaka wengine wanafurahi akisema "nimenunua milioni 25 hili"!
 
Du cyberteq umenisaidia sana kuna mtu hapa kaapa huwezi kupata harrier kuanzia us 3000. Sikutaka kubishana nae kwa sababu kila mara naenda aweer na ninazikuta tatizo wabongo mnapaisha magari wala yasiyokuwa na soko mradi nyie mkiona aina gari fulani analo basi ukiniambia Infinity , bmw, audi. Sikukatalii lakini toyota mmh
 
Nunua hio 3000cc uje kufunga nayo ndoa... watu hawaagizi Harrier za hio engine size. .. na ndo mana zinauzwa bei rahisi.
 
Hiyo gharama unayotumia kuagiza,tayarisha kiasi kama hicho hicho kwa kodi na malipo mengine!roughly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…