Bi Khadija
Member
- Aug 20, 2018
- 79
- 239
Habari zenu ndugu zanguni? Mimi nataka nihamie Tabata Segerea karibu na kituo cha Oil Com. Ofisi zangu zipo Posta Ohio Street.
Nina gari Toyota Crown nataka iuza ninunue Toyota Brevis. Matumizi yangu ni kwendea kazini sasa itakuwa from segerea to town.
Swali.
Je wastani wa matumizi ya Toyota Brevis engine ya 2.5 inaweza ikawa lita ngapi kwa siku. Mimi ni mtumiaji wa Full Time AC. huwa sizimi AC.
Naombeni majibu wenye uzoefu. Msinambie kununua ist au vitz. Hizo si gari zangu maana nyie wakaka huwa mnaamini wanawake wanapenda tugari tudogo tudogo.mi sipo hivyo