Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
kutoka crown to brevis ni kushuka aisee uza iyo uchukue Athlete ya cc 2500 heshima iwe pale pale brevis hazina soko saivi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama sio wa ist au vits hayo maswali unamuuliza nani kama kiumbe kilichovimbilwa kande? tumia hiyohiyo crown,na kwa hayo magari uliyotaja kuhusu matumizi ya mafuta nunua gari mpya kiwandani utapata na kitabu cha muongozo na majibu ya ulichouliza hilo ulonalo chuma chakavu wewe malizia tuHabari zenu ndugu zanguni? Mimi nataka nihamie Tabata Segerea karibu na kituo cha Oil Com. Ofisi zangu zipo Posta Ohio Street.
Nina gari Toyota Crown nataka iuza ninunue Toyota Brevis. Matumizi yangu ni kwendea kazini sasa itakuwa from segerea to town.
Swali.
Je wastani wa matumizi ya Toyota Brevis engine ya 2.5 inaweza ikawa lita ngapi kwa siku. Mimi ni mtumiaji wa Full Time AC. huwa sizimi AC.
Naombeni majibu wenye uzoefu. Msinambie kununua ist au vitz. Hizo si gari zangu maana nyie wakaka huwa mnaamini wanawake wanapenda tugari tudogo tudogo.mi sipo hivyo
Kwani wap ametaja athlete?Crown majesta ndizo zenye CC4700,hiyo crown athlete yenye Cc kubwa kiasi hicho ni model gani?..
Ni Bora ubaki nayo Tu au kama vipi uza ununue yenye Cc 2500
Mtoa mada kasema crown yake ni cc 4700 ndiyo maana nikasema Kwa Toyota crown zenye cc hizo kubwa ni crown majesta na crown athlete highbrid.Kwani wap ametaja athlete?
Kuna tofauti ya CUV- Crossover Utility Vehicle hapa ndo kuna gari kama Harrier, kluger, Forrester, Everest,Murrano etc halafu kuna SUV- Sport Utility Vehicle hapa ndo yale magari makubwa engine, size, width kama Prado, VXV8, X6 etcYou meant SUVs? Right? Its ok. Good advice pia. Thanks.
Upo sahihi ni ubishi wao kutaka mpaka ingetajwa model wakati kwa engine size tumeelewa ni model gani imeongelewa!!..Mtoa mada kasema crown yake ni cc 4700 ndiyo maana nikasema Kwa Toyota crown zenye cc hizo kubwa ni crown majesta na crown athlete highbrid.
Soma hiyo comment yake naweka na screen shot yakeView attachment 1172011
Duh.. Cc 4700 si za v8 hiziCrown nliyo nayo ni ya CC 4700. Ni machine kubwa bro. Nataka angalau nishuke kidogo maana naanza kukaa mbali na home. Naenda kukaa segerea...before ilikuwa rais from home oysterbay to posta.
Tabata Segerea to mjini ni kama 16Km... Gari itatumia kama lita moja kwa km 6 mwendo wa bampa to bampa... So kwenda uwe na lita tatu na kurudi uwe na lita tatu! Roughly kwa siku utatumia lita tano. So andaa kama elfu 12 kwa siku... Kwa Siku 25 za mwezi ni around Tsh laki tatu za mafuta tu!Habari zenu ndugu zanguni? Mimi nataka nihamie Tabata Segerea karibu na kituo cha Oil Com. Ofisi zangu zipo Posta Ohio Street.
Nina gari Toyota Crown nataka iuza ninunue Toyota Brevis. Matumizi yangu ni kwendea kazini sasa itakuwa from segerea to town.
Swali.
Je wastani wa matumizi ya Toyota Brevis engine ya 2.5 inaweza ikawa lita ngapi kwa siku. Mimi ni mtumiaji wa Full Time AC. huwa sizimi AC.
Naombeni majibu wenye uzoefu. Msinambie kununua ist au vitz. Hizo si gari zangu maana nyie wakaka huwa mnaamini wanawake wanapenda tugari tudogo tudogo.mi sipo hivyo
Bi Khadija! Kama huna mume naomba niku host... Niwe mwenyeji wako... Nimekaa mitaa hiyo since 2014! So nailewa vizuri tu!Habari zenu ndugu zanguni? Mimi nataka nihamie Tabata Segerea karibu na kituo cha Oil Com.
Hayo ni makadirio ya gari gani!?..Tabata Segerea to mjini ni kama 16Km... Gari itatumia kama lita moja kwa km 6 mwendo wa bampa to bampa... So kwenda uwe na lita tatu na kurudi uwe na lita tatu! Roughly kwa siku utatumia lita tano. So andaa kama elfu 12 kwa siku... Kwa Siku 25 za mwezi ni around Tsh laki tatu za mafuta tu!
Gari yeyote yenye 2500 cc ikiwa full.AC ikiendeshwa kwenye foleni.Hayo ni makadirio ya gari gani!?..
Ndo madhara ya kuwa na account mbili, hata kama ni heterosexual si vizuri kujifanya jike na dume kwa account tofauti ilihali wewe ni mmoja. Namaanisha Bi Khadija ndiye Kiduku Lilo Ila anajibadilisha tu jinsi yake kulingana na uzi. Ndio maana leo badala ya account ya uzi wa kiume kajichanganya katuma kwa uzi wa kike.
Bei ya Mafuta roughly inacheza 2200-2380 kwa elfu 10 utapata lita 4 hiyo ni 10,000!, so ukitaka lita 6 itakubidi uwe na 15,000!. Gari ya cc2500 na Ac juu eti lita 6 zikutoe Segerea-Mjini (labda buguruni napo si mjini) kwenda-rudi pamoja na FOLENI hii ni ndoto!!!..Gari yeyote yenye 2500 cc ikiwa full.AC ikiendeshwa kwenye foleni.
No wonder ulisema unatumia gari yenye cc 660.Gari yeyote yenye 2500 cc ikiwa full.AC ikiendeshwa kwenye foleni.
Bei ya Mafuta roughly inacheza 2200-2380 kwa elfu 10 utapata lita 4 hiyo ni 10,000!, so ukitaka lita 6 itakubidi uwe na 15,000!. Gari ya cc2500 na Ac juu eti lita 6 zikutoe Segerea-Mjini (labda buguruni napo si mjini) kwenda-rudi pamoja na FOLENI hii ni ndoto!!!..
Brevis tu ya cc2290 bila 20,000 unatembea na mawazo ije kuwa cc2500!!!??..
Mkuu umeichukulia cc2500 ndogo eeh?, Utatembea na vidumu mpaka ukome!!..
Yawezekana ana utalaam kubana jet aseh!, kuna wenzetu mainjinia!!🙂Mkuu huyu jamaa analeta utani na cc2500.
Inaonekana hata baiskel huna
AiseeKabisa..
Mkuu, nilikuwa na magari matatu ya kutembelea... Moja la kazini moja la kwangu lenye engine ya 3000cc Petrol na hako kadogo kenye 650cc....No wonder ulisema unatumia gari yenye cc 660.
Sidhani kama umeshawahi kutumia gari yenye cc2500 ukajionea ulaji wake.