Hii Guest House kiboko

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470


Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja
Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja
 
imetulia kweli,big up kwa mwenye hiyo guest house.Nalog off
 
kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi..
 
Sasa unaokoka kabla au baada ya shughuli ya elfu 6?
 
Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta
 
Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta

Huwa najifanya hilo jina sijaliona nazama tu
 
du hommie..................mbona bango ni kubwa namana hiyo; hawakudai cheti cha ndoa mkiingia?
 
hilo jina tu,mimi hoi!inanikumbusha pia,simba kapakatwa pub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…