Hii Guest House kiboko

Hii Guest House kiboko

safis sana........... tena kuna bango la sonara kabisa, ukishaokoka unapita kwa sonara, unamnunulia kakobe au mama lwakatare cheni na kupeleka church
 
piga ua, hiyo lazima itakuwa na kunguni na ukilalamika binti wa receiption anaanza kukemea 'shindwa, shindwa, ajenti ....'
 
hiyo Njombe mkubwa. Sasa Fide kwa sasa tunaoishi mbali unatushaurije ili kuokoa gharama?

Kumbe njombe inaelekea imeka kinzinzi zaidi kwani baridi la pale afu ukiingia kuoga ni lazima tena! Mh!
 
384529_273221986046916_100000773500533_694806_1291445532_n.jpg


Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja
Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja
Shikamoo mkuu Fidel80.
 
Hapa mkiwa wawili wenye jinsia tofuti, hampati chumba hadi muonyesha cheti cha ndoa chenye picha.
 
Back
Top Bottom