Inawezekana kuwa mwanaume hasemi kila kitu. Na inaonekana story ina kisa kingine na sio ubakaji. Sidhani kama polisi wanaweza kudai faini na kumsainisha mtu mitaani bila kufika kituo ni kufuata hatua husika, au mabaunsa wanaweza kudai faini ya kubakwa mtu mwingine, wakati mwenyewe mbakwaji hajadai. Na mbakwaji angeenda polisi na baadaye hospitali ili kupata ushahidi. Sidhani kama mtu akibaka anweza kupigiwa simu na aliyembaka halafu akaenda na kukaa naye sebule moja.
Huwezi kumchukua mtu mahali ukaneda nae bill na kwenda kumbaka kama hakukuwa na makubaliano fulani.
Labda habari hii ina vikolombwezo vingi ambavyo bado hatuvijui, so kama ni kweli better ije story ya kweli ili watu waweze kuchangia.