Hii habari ni ya kweli?????

Hii habari ni ya kweli?????

antiwela

Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
15
Reaction score
4
Habari zilizotufikia hivi punde.
Mtanzania yeyote kaa makini usiokote kitu chochote ambacho unamashaka nacho,kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani malawi/rwanda zaidi ya 30zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha “usikiguse” piga no 0756000042. Sms hii tuma kwa watu uwezavyo: Imetolewa na
jwtz/lsl5camrm: Asante.
Jambo hili usilichukulie utani kama meseji zingine za utani mnazotumiana
 
Zilizokufikia wewe na nani? Na kutoka kwa nani?

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Mkuu una maswali mengi kwani wee ni polisi???

Me nimetumiwa msg hii kutoka kwenye no nisiyoifahamu. So nimecopy msg jinsi ilivyo nakuileta hapa.
Ili nijue kama ni ya kweli au kama kunaaliyetumiwa ujumbe kama huu.
Asante mkuu
 
Hahahah...ni msukule pekee mwenye kuweza kuamini hiyo habari.
Karibu sana JF...
 
Habari zilizotufikia hivi punde.
Mtanzania yeyote kaa makini usiokote kitu chochote ambacho unamashaka nacho,kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani malawi/rwanda zaidi ya 30zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha “usikiguse” piga no 0756000042. Sms hii tuma kwa watu uwezavyo: Imetolewa na
jwtz/lsl5camrm: Asante.
Jambo hili usilichukulie utani kama meseji zingine za utani mnazotumiana

Karibu sana Jf
 
kwaheri vodacom!
umeniliza vya kutosha na kuniibia vya kunitosha.

karibu airtel mtandao wa kipekee🙂 nitakupenda na kukutumikia milele. Amen!

RIP VODAAAA.
 
kwaheri vodacom!
umeniliza vya kutosha na kuniibia vya kunitosha.

karibu airtel mtandao wa kipekee🙂 nitakupenda na kukutumikia milele. Amen!

RIP VODAAAA.

Wamekuibia nini?
 
Back
Top Bottom