[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unatafuta miwani kumbe umeivaa [emoji30]
Nawe ishakukuta e?π[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unatafuta miwani kumbe umeivaa [emoji30]
Mara nyingi sana hadi sasa hivi inaendela kunikuta. Hasa peni nikiweka mfukoni baada ya kuitumia, nikitaka kuitumia tena naanza kuitafuta[emoji3][emoji3][emoji3]Nawe ishakukuta e?[emoji28]
Kuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k
Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha form four kwa muda huo kilkua kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi naulza madogo wanasema hawajui kuja kuchek kumbe ni nacho mkononi.Niltamani nikichane
Je wewe pia ulishakutana na kadhia hii....View attachment 1021766
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi sana hadi sasa hivi inaendela kunikuta. Hasa peni nikiweka mfukoni baada ya kuitumia, nikitaka kuitumia tena naanza kuitafuta[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu kazidi asee,heri mimi
Unatafuta miwani kumbe umeivaa [emoji30]
Unajikuta unajicheka ukikiona unachotafuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa inatia hasira sana hii hali
π πHahhaaaa daah
Nikiwa kwenye watu nachekelea sana, ila nikiwa pekee yangu hasira inapanda sanaUnajikuta unajicheka ukikiona unachotafuta