[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahahha kuna jamaa alikua anapanda ngazi kufika katikati akasimama anafikiria kitu, badae akasahau kuwa alikua anapanda au anashuka!
Kuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]
Halafu unakuta umeshamfokea na kumlaumu mtu fulanii kwa kukupotezea. Halafu ghafla unagundua unacho mfukoni au umekibana mwapani......Unajikuta unajicheka ukikiona unachotafuta
Akili inajielekeza kuwaza mambo mengine ikiwemo lilipo shoka baada ya kukosekana. Uzito japo ulikuwepo ila hukuhisiwaHahhaaaa wait ina maana hakuhisi uzito kwa bega?
Halafu unakuta umeshamfokea na kumlaumu mtu fulanii kwa kukupotezea. Halafu ghafla unagundua unacho mfukoni au umekibana mwapani......
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwaga aibu halafu unajiona zuzu vile.....Au unamlalamikia anakuchora tu huku anaona ulivyokibana kwapani...anasubiri umalize kutoa povu akuoneshe
Acha nicheke tuYaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..
Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni
Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k
Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha form four kwa muda huo kilkua kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi naulza madogo wanasema hawajui kuja kuchek kumbe ni nacho mkononi.Niltamani nikichane
Je wewe pia ulishakutana na kadhia hii....View attachment 1021766
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli inakera hapo unatafuta funguo mpaka basi yaani unataka utoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta miwani kumbe umeivaa [emoji30]
Me kna sku anko angu alkua anatafuta tai kmbe ameshaivaa alitugombeza et tumemfichia ndo nikamwmbia siyo hyo ambayo umevaaKuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]
me nliwah kutafuta njaa, baada ya muda ety ndo nakumbuka kumbe nimeshiba.