Hii hali ilishakukuta na wewe?....

Hii hali ilishakukuta na wewe?....

hahahha kuna jamaa alikua anapanda ngazi kufika katikati akasimama anafikiria kitu, badae akasahau kuwa alikua anapanda au anashuka!
 
hahahha kuna jamaa alikua anapanda ngazi kufika katikati akasimama anafikiria kitu, badae akasahau kuwa alikua anapanda au anashuka!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]

Hahhaaaa wait ina maana hakuhisi uzito kwa bega?
 
Hasa simu. Mko zaidi ya wa3,4 hivi. Hapo kuna masera usiowaamini,hasa kufuatana na tabia zao. Wale masera wanasepa,simu kawaida mara nyingi inakuwa mfukoni,lakini ukawa umeishika mkononi. Unafuta mfukoni haimo,pale ulipozoea kuweka mezani haipo. Mbio nje kuwakimbilia wale masera. Kumbe simu iko mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utazidi changanyikiwa siku ukiibiwa gari, maana utajisachi mifukoni wewe!

3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
 
Yaani unatafuta kitu muda mrefu mpk unatamani kulia..

Unakuta hicho kitu kwa muda huo ndo cha umuhimu alafu ukioni

Kuna muda unatafuta weee kumbe unacho mkononi umekishka au mfukoni n.k

Me nilishawai kutafuta Cheti changu cha form four kwa muda huo kilkua kina itajika Veta nilitafuta ka lisaa hvi naulza madogo wanasema hawajui kuja kuchek kumbe ni nacho mkononi.Niltamani nikichane

Je wewe pia ulishakutana na kadhia hii....View attachment 1021766

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nicheke tu

Nilipokuwa mdogo kama darasa la 1 au 2 nilitumwa sukari dukani nikapewa jero

Kufika karibu na duka, nikajisachi mfukoni sina hela, ikabidi nianze kurudi nyumbani kwa njia ile ile niliyotumia kwenda dukani huku naangalia chini kwa umakini mkubwa

Nilikwenda na kurudi njia hiyo kama mara 4. Nikawa naogopa kurudi home, maana ningeenda na story za kupoteza hela ningekula kichapo

Ikafika jioni kabisa kwenye saa 12 (nilitumwa shop kwenye saa 10 jioni hivi), kuangalia mkono wa kulia nimekakunja kajero, kana jasho, kamekunjamana ..... Duh.... Nilichoka, nikaenda shop kuchukua sukari

Usiniuliza niliporudi nyumbani na kuulizwa kwanini nimechelewa niliwajibu nini. Kubwa zaidi usiniulize nini kilinikuta [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]
Me kna sku anko angu alkua anatafuta tai kmbe ameshaivaa alitugombeza et tumemfichia ndo nikamwmbia siyo hyo ambayo umevaa
Acha aishiwe na pozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom