Hii hali ilishakukuta na wewe?....

Hii hali ilishakukuta na wewe?....

Ilishanikuta hy
Hasa simu. Mko zaidi ya wa3,4 hivi. Hapo kuna masera usiowaamini,hasa kufuatana na tabia zao. Wale masera wanasepa,simu kawaida mara nyingi inakuwa mfukoni,lakini ukawa umeishika mkononi. Unafuta mfukoni haimo,pale ulipozoea kuweka mezani haipo. Mbio nje kuwakimbilia wale masera. Kumbe simu iko mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nicheke tu

Nilipokuwa mdogo kama darasa la 1 au 2 nilitumwa sukari dukani nikapewa jero

Kufika karibu na duka, nikajisachi mfukoni sina hela, ikabidi nianze kurudi nyumbani kwa njia ile ile niliyotumia kwenda dukani huku naangalia chini kwa umakini mkubwa

Nilikwenda na kurudi njia hiyo kama mara 4. Nikawa naogopa kurudi home, maana ningeenda na story za kupoteza hela ningekula kichapo

Ikafika jioni kabisa kwenye saa 12 (nilitumwa shop kwenye saa 10 jioni hivi), kuangalia mkono wa kulia nimekakunja kajero, kana jasho, kamekunjamana ..... Duh.... Nilichoka, nikaenda shop kuchukua sukari

Usiniuliza niliporudi nyumbani na kuulizwa kwanini nimechelewa niliwajibu nini. Kubwa zaidi usiniulize nini kilinikuta [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]
Matumizi ya mmea pia husababisha kupoteza kumbukumbi.
 
Nishawahi tafuta condom wakati wa game siioni,kumbe nishaivaa alaf mamiloo ananichek tu anacheeka kinyama.
 
Back
Top Bottom