Hii hali ilishakukuta na wewe?....

Hii hali ilishakukuta na wewe?....

Kuna mzee kule kijiji aliweka shoka begani halafu akaondoka kwenda kukata gogo msituni, alipofika akataka kukata gogo akaanza kutafuta shoka akarudi nyumbani. Baada ya kufika nyumbani akaulizwa mbona huna gogo, akasema siioni shoka nimeisahau huku nyumbani. Akaambiwa mbona shoka iko begani kwako, akajikuta anapigwa na butwaa kwa mshangao mkubwa[emoji3][emoji3]
Nishawahi tafuta kalamu kumbe njmeichomeka kichwani. Nilipoenda washroom wakati nanawa ndiio naiona kupitia kwenye kioo cha washing basin.
 
Hasa simu. Mko zaidi ya wa3,4 hivi. Hapo kuna masera usiowaamini,hasa kufuatana na tabia zao. Wale masera wanasepa,simu kawaida mara nyingi inakuwa mfukoni,lakini ukawa umeishika mkononi. Unafuta mfukoni haimo,pale ulipozoea kuweka mezani haipo. Mbio nje kuwakimbilia wale masera. Kumbe simu iko mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha kuna mwamba usiku alikua anatafuta simu yake huku anatumia tochi ya simu hiyohiyo anaoyoitafuta.
Nadhani hua kunakua na fuse zimelegea kwenye ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nimewahi kuagizwa nyama nikapewa elfu 10 nikiwa secondary basi kufika buchani sioni hela asee nilirudi natafuta njia nzima sijaiona kama nusu saa nikasema leo kipigo.
Ikabidi nirudi home kusema nikagombezwa vibaya sana nikapewa nyingine kufika buchani naiona ile 10 ipo kwenye mfuko wa shati na nilitafuta mwanzo sikuiona [emoji1][emoji1][emoji1].
Ikawa pocket money ya shule maana nishasemwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ile unachukua simu unataka kumpigia mtu (fulani ) ghafla unasahau ulitaka kumpigia nani...unabaki unatoa mboni tu...inakuwa baada ya dakika tatu au zaidi ndo unakumbuka...😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom