Hii hali inakuaje

Hii hali inakuaje

Habarini Wanajamvi,

Inakuaje mtu unaposhirika tendo la ndoa pale unapomalizia kufika kileleni maumivu makali ya mgongo yanaaza.

Pia unapopatwa na mawazo kidogo pia maumivu yanaanza.
Piga mazoezi ya kegel!!

Lala Chali,kunja miguu halafu nyanyua kiuno na mgongo juu kaa kwa sekunde hata kumi rudia tena asubuhi na jioni Kila siku!!
 
Back
Top Bottom