The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Duuh mm huwa sielewi huwa nashangaa saanaSi wewe tu hata mimi nakutana nayo sana hiyo
FoolVizur ipo siku utapigwa na kuchomwa moto baada ya kufananishwa na kibaka...
tuombe isitokee
Duniani wawili wawili... Wote tumeumbwa kwa mfano wake Mungu hivyo kufananishwa ni jambo la kawaida kabisaHabari za mda huu
Kuna kitu kinanishangaza saana yaani mimi huwa nafananishwa saana na watu yaani zaidi ya watu wasiopungua 10 walishawahi kinifanisha na watu wanaowajua au wafahamu
Hii imekaaje jamani mimi nashindwa kulewa yaani
Kitakachokupa utajua mwenyeweWachawi mnafanana sana
Habari za mda huu
Kuna kitu kinanishangaza saana yaani mimi huwa nafananishwa saana na watu yaani zaidi ya watu wasiopungua 10 walishawahi kinifanisha na watu wanaowajua au wafahamu
Hii imekaaje jamani mimi nashindwa kulewa yaani
Serious man jiangalieFool