Hii hali inanishangaza jamani mh

Hii hali inanishangaza jamani mh

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Habari za mda huu

Kuna kitu kinanishangaza saana yaani mimi huwa nafananishwa saana na watu yaani zaidi ya watu wasiopungua 10 walishawahi kinifanisha na watu wanaowajua au wafahamu
Hii imekaaje jamani mimi nashindwa kulewa yaani
 
Si wewe tu hata mimi nakutana nayo sana hiyo
 
Vizur ipo siku utapigwa na kuchomwa moto baada ya kufananishwa na kibaka...

tuombe isitokee
 
Kawaida mkuu usiogope, au unahisi ulikufa sehem nyingine na ukaja fufuka sehem nyingine. !!
 
Habari za mda huu

Kuna kitu kinanishangaza saana yaani mimi huwa nafananishwa saana na watu yaani zaidi ya watu wasiopungua 10 walishawahi kinifanisha na watu wanaowajua au wafahamu
Hii imekaaje jamani mimi nashindwa kulewa yaani
Duniani wawili wawili... Wote tumeumbwa kwa mfano wake Mungu hivyo kufananishwa ni jambo la kawaida kabisa
 
Habari za mda huu

Kuna kitu kinanishangaza saana yaani mimi huwa nafananishwa saana na watu yaani zaidi ya watu wasiopungua 10 walishawahi kinifanisha na watu wanaowajua au wafahamu
Hii imekaaje jamani mimi nashindwa kulewa yaani

Huenda wewe ni jini unayejibadilisha ila hajitambui tu.
 
Kumbe 10 hiyo hamna tatizo. Ingefika 300 tungeanza kuwa na wasiwasi labda we ni kinyonga mbadilika sura
 
Hii ni kitu ya kawaida sana kwani
Watu wanasema Duniani tuko wawili wawili
Na mimi nasema pengine duniani tuko hata saba saba
 
Back
Top Bottom