Hii Hali Kwa baadhi ya wanaume wakati wa mizagamuano husababishwa na nini?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,864
Reaction score
8,706
Wakuu hebu kwanza tuachane na mambo ya Chaumma tuongee Ishu nyeti kama wanaume !

Mara kadhaa nimekuwa nikisia na kuona baadhi ya wanaume hasa mitandaoni wakilala Mika ya kwamba,wanapokuwa kwenye mizagamuano baada ya bao la kwanza tu mzee Ramadhani mpiga chafya hulala kabisa huku wakivuta pumzi na kuupa muda nafasi,baada ya saa kadhaa kupita ndipo mzee Ramadhani mpiga chafya huamka tena !

Binafsi nimekuwa nikishangaa sana,Je hilo ni tatizo Kwa baadhi ya wanaume au ni Hali ya kawaida!?

Kwangu sijawahi kukutana na Hali kama hiyo ndiyo maana nashangaa,Binafsi huwa ninazagamuana,Mzee Ramadhani mpiga chafya huwa halali Kwa bao moja pekee,huwa ninapopiga bao mzee halali ninaunganisha hadi bao 2 ndipo naweza Sasa kupumzika lakini siyo kulala Kwa Mzee Ramadhani!,yawezekana labda ni vyakula ninavyotumia au ndivyo nilivyo!

Wanaume mnaopitia hiyo changamoto poleni sana maana naelewa maumivu mnayokutana nayo!

Heshima ya mwanaume yeyote Kwa mkewe ni kuhakikisha anamkung'uta mkewe bila huruma kama Paka aliyekunya kwenye debe la Unga !
 
Stress
Vyakula
Kuwa member wa CHAPUTA
Porn videos
Ndo chanzo Cha tatizo hilo
Kuna mshkaji enzi hizo alikuwa anatamba kuwa anaweza piga bao Tatu kwa kujichukulia Sheria mkononi nikamwambia kijana utakuja kulea watoto sio wako miaka ya mbele
 
Wakuu hebu kwanza tuachane na mambo ya Chaumma tuongee Ishu nyeti kama wanaume !

Mara kadhaa nimekuwa nikisia na kuona baadhi ya wanaume hasa mitandaoni wakilala Mika ya kwamba,wanapokuwa kwenye mizagamuano baada ya bao la kwanza tu mzee Ramadhani mpiga chafya hulala kabisa huku wakivuta pumzi na kuupa muda nafasi,baada ya saa kadhaa kupita ndipo mzee Ramadhani mpiga chafya huamka tena !

Binafsi nimekuwa nikishangaa sana,Je hilo ni tatizo Kwa baadhi ya wanaume au ni Hali ya kawaida!?

Kwangu sijawahi kukutana na Hali kama hiyo ndiyo maana nashangaa,Binafsi huwa ninazagamuana,Mzee Ramadhani mpiga chafya huwa halali Kwa bao moja pekee,huwa ninapopiga bao mzee halali ninaunganisha hadi bao 2 ndipo naweza Sasa kupumzika lakini siyo kulala Kwa Mzee Ramadhani!,yawezekana labda ni vyakula ninavyotumia au ndivyo nilivyo!

Wanaume mnaopitia hiyo changamoto poleni sana maana naelewa maumivu mnayokutana nayo!

Heshima ya mwanaume yeyote Kwa mkewe ni kuhakikisha anamkung'uta mkewe bila huruma kama Paka aliyekunya kwenye debe la Unga !
Unauliza swali kama ni tatizo au hali ya kawaida halafu hapohapo unatoa pole kwa wanaume wanaopitia changamoto hiyo😃😃

in short ni kwamba hiyo ni hali ya kawaida tu.

Unachokifanya ww watu wengi wamepitia wakati bado kwenye ulimbukeni wa sex ila ukizoea unaona kawaida huna haja ya kuhangaika eti kuunganisha bao.

Subiri uwe na majukumu kidogo...........
 
Sijakuelewa unaulza swali au unajisifu?

Anyway hyo hari ni yakawaida kwa mwanaume.
Nikutokana na mindset yake ya siku hyo, na inategemea unasex na mwanamke wa aina gani mda huo.
 
Unauliza swali kama ni tatizo au hali ya kawaida halafu hapohapo unatoa pole kwa wanaume wanaopitia changamoto hiyo😃😃

in short ni kwamba hiyo ni hali ya kawaida tu.

Unachokifanya ww watu wengi wamepitia wakati bado kwenye ulimbukeni wa sex ila ukizoea unaona kawaida huna haja ya kuhangaika eti kuunganisha bao.

Subiri uwe na majukumu kidogo...........
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom