hii hali ni kawaida?au

hii hali ni kawaida?au

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
153
Reaction score
81
Wapendwa wana jf hivi hii hali ya kwenda mwendo mrefu niwapo faragha na kiburudisho ni ya kawaida kweli?maana utakuta mzunguko mmoja naenda hata nusu saa nzima!mnijuze wadau.
 
Hiyo ndo nzuri hasaaa!! We watu wanatafta dawa za kuchelewesha we wataka uwahi?
 
Haya wanaume mkowapi wenye uzoefuuuuuu wa mambo hayoooooo ya vuta nikuvute....
 
kweli watu wengine mnambo ya ajabu, mkibarikiwa tabu na mkilaaniwa tabu sasa we watakaje?
 
Sioni hilo kama ni tatizo, you can consider hilo jambo kama faida kwenye mahusiano yako!
 
Wapendwa wana jf hivi hii hali ya kwenda mwendo mrefu niwapo faragha na kiburudisho ni ya kawaida kweli?maana utakuta mzunguko mmoja naenda hata nusu saa nzima!mnijuze wadau.
Kwani wewe unaonaje?
 
Huo ndo utamu wenyewe huo, je, unatumia vinywaji vyetu vile?
 
Kwa mwanaume rijali/mwenye nguvu ni dkk 1-15,bao la pili ndo linachelewa cos stimu/nyege zinakua zimeisha,ila kama unachukua muda mrefu basi ujue unakua haupo kwenye mOod ya kudo::::Mie kwanza ni foreplay then la kwanza within 5mins shapiga ila la pili ni shughuri ili naweza kwenda dkk 20 hadi 45 sema inabid uwe mbunifa na mazingira mazuri ili usimboe dkk zote hizo mijasho joto khaaaaa
 
Wapendwa wana jf hivi hii hali ya kwenda mwendo mrefu niwapo faragha na kiburudisho ni ya kawaida kweli?maana utakuta mzunguko mmoja naenda hata nusu saa nzima!mnijuze wadau.
Mimi pia nipo ivo,naweza enda hata dk 40 hata kama nilikuwa mbali na my wife kwa muda mrefu ila niki-ejaculate mara 1 ndo nitolee may be after 1hr ndo naweza rudia ila sioni kama ni tatizo kwangu.
 
Duh! shida ziko nyingi, kuporomoka ka shilingi, mikatabafeki, umeme, elimu mbaya, huduma za afya mbovu, kupanda kwa sukari, kutumia dk 40 kukimbia.

Hebu tuvipumzishe vichwa tunavichosha bure
 
Back
Top Bottom