Nduna shujaa
Senior Member
- Aug 14, 2022
- 163
- 134
Nimefika wilaya ya ludewa mkoani njombe nimeshuhudia kama sherehe za ndoa nne kila anayepitisha tukio hili lazima akodi gari si chini ya kumi na kwakuwa mji mdogo watazunguka eneo lote la mjini hapo.Kituko wajasiriamali wasiyoalikwa wapo tayari kuacha biashara zao kusindikiza wakiwa wanacheza singeli.Na watu wengine wanatoka makwao kufata msafara.Mbona mambo haya ktk majiji na manispaa nyingi hakuna mambo haya watu apo bize na pilika zao kama hawakualikwa.Je nauliza,ni ushamba,ushirikiano,elimu duni au nini?