Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea. Uongozi wa Chadema uliishia kwenda gerezani.
Afande Muroto alisema atakae andamana atapata kipigo cha mbwa koko. Maandamano katika nchi zenye demokrasia ndiyo njia ya kufikisha ujumbe. Sisi tunatishwa na tunabaki kuwa waoga.
Hivi vifo vinavyotokea vitufunze kuwa tukiacha kuandamana maamuzi mabaya ya viongozi wetu yataletea vifo pia. Hiki tunachopata sasa hivi ni zaidi ya kipigo cha mbwa koko.
RIPuzi wangu ninajia huna maisha marefu.
Mungu siyo Bia yetu useme atakuwa mnafiki! Usichokijua kutokana na upungufu wenu wa akili ni kwamba hiyo orodha uliyoweka hapo wote wataondoka kwa Corona kutokana na maamuzi mabovu dhidi ya gonjwa hili yanayofanywa na yule Pilato wa Chato!Chadema mtaongea kila lugha ila Ndio kwisha Habari yenu View attachment 1434121
Wanaojielewa wanaenda Nccr mageuzi
Sacos anabaki nayo dj
Mungu siyo Bia yetu useme atakuwa mnafiki! Usichokijua kutokana na upungufu wenu wa akili ni kwamba hiyo orodha uliyoweka hapo wote wataondoka kwa Corona kutokana na maamuzi mabovu dhidi ya gonjwa hili yanayofanywa na yule Pilato wa Chato!
Wewe kweli zezeta, yaani unafurahia kuwapata hao mbuzi waliofika bei?!Chadema mtaongea kila lugha ila Ndio kwisha Habari yenu View attachment 1434121
Wanaojielewa wanaenda Nccr mageuzi
Sacos anabaki nayo dj
Wewe kweli zezeta, yaani unafurahia kuwapata hao mbuzi waliofika bei?!
Kama mna akili inunueni na Corona basi tubaki salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anayejitambua atakae kimbilia huko?!Wamekuwa mbuzi Kwasababu wameikataa Chadema ?
Nani anayejitambua atakae kimbilia huko?!
Hebu pitisheni mchango wa kutosha mjaribu kumnunua Mbowe.
Sent using Jamii Forums mobile app
No! Nawaombea CCM kufa kwa Corona kwa sababu wamehamua kutoa watu sadakaWewe unawaombea watu kufa kisa wameikataa Chadema ?
Jana ulifanyaje mpwa wakakupiga ban? Ila kichwa sijui kimejaa vitu gani sijui?Mbowe ni mtu wa system hana madhara
Jana ulifanyaje mpwa wakakupiga ban? Ila kichwa sijui kimejaa vitu gani sijui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Masuala ya covid19 hayana siasaNi mara chache sana watoto hupata corona, ugua pole Keagan
Pole sana Mpwa, ila jitahidi upunguze mpwa kasi yako naiona kila Uzi, kila wakati asubuhi, mchana, jioni, usiku, usiku wa manane na hata alfajiri.Mpwa nilimwita jamaa angu wa ufipa chadmo hapo kwenye d kuna O
Nikalambwa ban ? Je hilo neno haliruhusiwi humu?
Misukule hawalali.Pole sana Mpwa, ila jitahidi upunguze mpwa kasi yako naiona kila Uzi, kila wakati asubuhi, mchana, jioni, usiku, usiku wa manane na hata alfajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππIla we mwamba unapenda ugomvi ni hatare πππ
Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea. Uongozi wa Chadema uliishia kwenda gerezani.
Afande Muroto alisema atakae andamana atapata kipigo cha mbwa koko. Maandamano katika nchi zenye demokrasia ndiyo njia ya kufikisha ujumbe. Sisi tunatishwa na tunabaki kuwa waoga.
Hivi vifo vinavyotokea vitufunze kuwa tukiacha kuandamana maamuzi mabaya ya viongozi wetu yataletea vifo pia. Hiki tunachopata sasa hivi ni zaidi ya kipigo cha mbwa koko.
RIPuzi wangu ninajia huna maisha marefu.
MAKONDA ALIMNANG'A MBOWE SASA YYE NA MWANAE WANA CORONA WAMEJITENGA NA FAMILIA..
Aise ila unasherehesha sana humuWewe ni mtalii wa nini