Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Apr 29, 2020 #41 Laki Si Pesa said: Umejifunza nini sasa? acha unafiki na umbea Click to expand... Tumejifunza kwamba viongozi wabovu hufurahia kuzika watu kwa magreda
Laki Si Pesa said: Umejifunza nini sasa? acha unafiki na umbea Click to expand... Tumejifunza kwamba viongozi wabovu hufurahia kuzika watu kwa magreda
Ninja assasin JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 3,103 Reaction score 7,102 Apr 29, 2020 #42 Wangari Maathai said: Mwanaume asiye na hela huwa wako hivyo! Muda wote gubu akiguswa ashawaka! Kutokua na hela kwa men ni DHAMBI Click to expand... πππ
Wangari Maathai said: Mwanaume asiye na hela huwa wako hivyo! Muda wote gubu akiguswa ashawaka! Kutokua na hela kwa men ni DHAMBI Click to expand... πππ
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Apr 29, 2020 #43 ......Hivi vifo vinavyotokea vitufunze kuwa tukiacha kuandamana maamuzi mabaya ya viongozi wetu yataletea vifo pia.
......Hivi vifo vinavyotokea vitufunze kuwa tukiacha kuandamana maamuzi mabaya ya viongozi wetu yataletea vifo pia.
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,826 Apr 29, 2020 #44 Retired said: Africa needs a second wave of freedom struggle from colonial one! Click to expand... Very true. Uhuru bado haikuwa nia ya dhati kwa hawa watendaji wanaturudisha tulipotoka kwa kasi ya ajabu Sent using Jamii Forums mobile app
Retired said: Africa needs a second wave of freedom struggle from colonial one! Click to expand... Very true. Uhuru bado haikuwa nia ya dhati kwa hawa watendaji wanaturudisha tulipotoka kwa kasi ya ajabu Sent using Jamii Forums mobile app
Sijijui JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 7,877 Reaction score 8,812 Apr 29, 2020 #45 Bia yetu said: Chadema mtaongea kila lugha ila Ndio kwisha Habari yenu View attachment 1434121 Wanaojielewa wanaenda Nccr mageuzi Sacos anabaki nayo dj Click to expand... Kwa hizi siasa uchwara zisizohitaji akili JPM yuko vizuri sana,Ila kwenye issue zinazohitaji critical thinking ,wagonjwa wa milembe wa wananafuu
Bia yetu said: Chadema mtaongea kila lugha ila Ndio kwisha Habari yenu View attachment 1434121 Wanaojielewa wanaenda Nccr mageuzi Sacos anabaki nayo dj Click to expand... Kwa hizi siasa uchwara zisizohitaji akili JPM yuko vizuri sana,Ila kwenye issue zinazohitaji critical thinking ,wagonjwa wa milembe wa wananafuu