Wadada tunapowahitaji katika kipindi kama hiki mjaribu kuitika wito mapema na kama hauji basi toa taarifa mapema ili mtu afanye alternative nyingine siyo tunawasikilizia baadae mida ishaenda unasema hauji mnatuumiza sana, ukizingatia hali kama hii ni adimu hapa Dar.
Asanteni, tubarikiwe wote tuliofurahia hali ya hewa ya leo.