Hii hali ya kujisikia homa nyakati za usiku hasababishwa na nini?

Hii hali ya kujisikia homa nyakati za usiku hasababishwa na nini?

Mimi nitazumngumza tu kwa nini watu huumwa usiku maana kuhusu hili suala lako tulishazungumza.
Watu wengi hawajui nguvu ya jua 🌞 hii ni nguvu ya masculine aka umeme hivyo wakati wa mchana mtu anaweza kupata nguvu hii na hivyo magonjwa yanaweza kufichika kwakua mwili unakua na nishati yakutosha ila pindi jua linapozama nishati hii huondoka hivyo mwili dhaifu huweza kuonesha udhaifu wake. Kumbuka bila jua hakuna maisha na mwili wako unahitaji nishati ya umeme ikiwa hutoipata kwa njia ya mimea basi waweza ipata moja kwa moja mwanga au ardhi.
Pia nyota na mwezi vina nguvu zake tofauti na jua mfano Mwezi ina nguvu feminine anyway someni na ku research mambo ya metaphysical kwa anayetaka wish lingekua ni somo mashuleni magonjwa mengi yangekuwa hayapo.

Kipangaspecial
Naxria abdalla
 
Mojawapo ya dalili ya Kifua Kikuu ni Pamoja na zifuatazo
-Kikohozi cha muda mrefu kisichopona hata baada ya kutumia dawa
-Mwili kuishiwa nguvu
- Kuhisi kichefuchefu na kutapika ,Kizunguzungu
-"Homa za mara kwa mara hasa nyakati za usiku "
Mkuu fika mapema kituo cha Afya kilicho karibu nawe ili uweze kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu kwani kuna uwezekano ukawa na tatizo zaidi kwenye mwili wako.
 
Back
Top Bottom