Mojawapo ya dalili ya Kifua Kikuu ni Pamoja na zifuatazo
-Kikohozi cha muda mrefu kisichopona hata baada ya kutumia dawa
-Mwili kuishiwa nguvu
- Kuhisi kichefuchefu na kutapika ,Kizunguzungu
-"Homa za mara kwa mara hasa nyakati za usiku "
Mkuu fika mapema kituo cha Afya kilicho karibu nawe ili uweze kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu kwani kuna uwezekano ukawa na tatizo zaidi kwenye mwili wako.