Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

kunuka jasho ni kawaida ila lisizidi mimi niacho jiulizaga ni kitu kimoja kuna mtu toka unefahamiana nae hujawahi kutana nae asi nuke mdomo aisee huwa najisikia vibaya sana kuongea na mtu anae nuka mdomo
 
Nilikutana na kijana mmoja ananuka mdomo sijapata kuona kwa kweli nilimwambia live kua awe anapiga mswaki mara mbili kwa siku, akasema ana tatizo nikamwambia awe anatafuna Big G au Pipi Kifua au anakunywa maji mara kwa mara mdomo usikae mkavu,

Hao wa Kwapa ndio siwezi kuvumilia kabisaaaaa, zawadi ya Deodorant itamuhusu na ujumbe wa "ikiisha nunua nyingine, kunukia kunaongeza unadhifu" so mtu atajiongeza.
 
Tatizo watu wanakua Sana chumvi na chumvi yenyewe unakuja imeisha expire
 
kunuka jasho ni kawaida ila lisizidi mimi niacho jiulizaga ni kitu kimoja kuna mtu toka unefahamiana nae hujawahi kutana nae asi nuke mdomo aisee huwa najisikia vibaya sana kuongea na mtu anae nuka mdomo
Mnunulie big G especially sugar free kama mentos au beba pipi kifua.
Ukkutana nae toa mbili, moja yako nyengine yake, Maana nyani haoni.......... huenda na yeye anahisi wewe ndio unanuka mdomo.
Pia ndizi mbivu husaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni
 
Vitu vya kufanya ili Kupunguza harufu mbaya mwilini
. Kuogea shower gel
.Kutumia deodorant
.Kupunguza unene
.Kutumia ndimu kujisugua makwapa
.Kupunguza kula vitu vya sukari sana au vya kukaanga
.Kuoga angalau mara 2 -3 kwa siku
.Kufungua nguo zako vizuri na kuzipulizia manukato
 
Unawezaje kusifia Mavi 'givi' yakinukia vizuri?

Sharti la kinyesi kinuke haswa a.k.a n'guse n'nuke

Binadamu ili uwe hai na tuuone uzima wako sharti unuke sawasawa

Nuka mwana wane nuka, mtoto wa kiume nuka haswa mtoto wa kike nuka jamani nuka yaani
 
[emoji23][emoji23]
 
Nimeshangaa watu wengi wanatetea kunuka, kunukia ni jambo jema maana madem wanapenda unukie harufu nzuri
 
Hawanywi maji mengi na kufanya mazoezi
 
Nimepata hint sehemu kuhusu harufu ya mwili kuwa inaendana na unachokikula pia;

Ukiangalia kimantiki haiwezekani panya amshinde harufu paka kabisa, maana paka anamla huyo panya so harufu yake ni harufu ya paka plus harufu ya panya.

So kama chakula chako ni kitata bro, utamaliza pafyumu na pafyumu na mabeseni na mabeseni ya maji ya kuoga. Ndo maana baada ya kula mapilau siku mbili tatu za mbeleni lazma harufu zinazokutoka ziwe tata. Shida inakuja watu sasa wamehalalisha kula kiukawaida vyakula rasmi. So harufu za ajabu zinakuwa ndii kawaida yao
 
Nimepata hint sehemu kuhusu harufu ya mwili/mdomo/jasho/mkojo kuwa inaendana na unachokikula pia; Chakula kinachoegemea kwenye nyama, junk na mikaangizo VS kichoegemea kwenye matunda, mbogamboga na michemsho.

Ukiangalia kimantiki haiwezekani panya amshinde harufu paka kabisa, maana paka anamla huyo panya so harufu yake ni harufu ya paka plus harufu ya panya.

So kama chakula chako ni kitata bro, utamaliza pafyumu na pafyumu na mabeseni na mabeseni ya maji ya kuoga. Ndo maana baada ya kula mapilau siku mbili tatu za mbeleni lazma harufu zinazokutoka ziwe tata. Shida inakuja watu sasa wamehalalisha kula kiukawaida vyakula rasmi. So harufu za ajabu zinakuwa ndio kawaida yao
 
Je wewe umeshahakiki harufu ya kinywa chako kama inaridhisha? 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…