Daaah! Hatimaye nimemaliza michakato .aisee!! kweli ualimu kazi! Vitambulisho telee yani hapa inabidi niongeze wallet ................ ila Kusema ukweli naona halmashauri ya singida v imejipanga ,kuanzia mapokezi,registration hadi malipo ,hadi muda huu tushapewa pesa zetu za kujikumu na nauli za kutupeleka vituoni,hakuna uchakachuzi uliofanyika na tumepewa zote za siku saba.......... kwa wale mliochakachuliwa pesa zenu huko kwenye halmashauri zenu poleni ndo sirikali yetu hiyo............ Alamsiki........!!!(msije kuniibia vijisenti vyangu buree!!

yani wacha kabisa hukooo jina lenyewe ghumu hadi niangalie kwenye karatasi! Loh
ha ha loh! Nimefurah tu kumaliza mzunguko mana inachoshaje?!
Daaah! Hatimaye nimemaliza michakato .aisee!! kweli ualimu kazi! Vitambulisho telee yani hapa inabidi niongeze wallet ................ ila Kusema ukweli naona halmashauri ya singida v imejipanga ,kuanzia mapokezi,registration hadi malipo ,hadi muda huu tushapewa pesa zetu za kujikumu na nauli za kutupeleka vituoni,hakuna uchakachuzi uliofanyika na tumepewa zote za siku saba.......... kwa wale mliochakachuliwa pesa zenu huko kwenye halmashauri zenu poleni ndo sirikali yetu hiyo............ Alamsiki........!!!(msije kuniibia vijisenti vyangu buree!!
Vipi umeme upo? Maji yapo? Nyumba nzuri za kupanga zipo?
mkuu umesoma mpaka la ngapi?
dah yani hapa hata sielewi nimeskia tu maumeme ya sola huko maji ya visima,nyumba zipo za kumwaga! Aisee cjui ntanenepa au ntakonda!?..mawazo !!!
asante mkuu !! Ngoja tuziondoe hizo div 0!!